Friday, February 5, 2010

Hivi kweli Tanzania itaendelea katika michezo kama kila kiongozi wa chama cha michezo atailalamikia serikali juu ya ufandhili.

Cha mhimu viongozi wa michezo popote pale walipo wanapaswa kuwa na mpango mkakati wa kuhakikisha vyama vyao vinajiendesha vyenyewe ili kupiga hatua katika maendeleo.tutafakari kwa makini.

Thursday, February 4, 2010

KAZI IMEANZA

Haya ndugu zangu wanajamii karibuni tuhabarishane,tuburudishane na tuelimishane katika hii blog yetu ya CHETO-MAKINIKA,tutaangalia kwa pamoja nyanja za Siasa,Uchumi,na Jamii,karibuni