Saturday, June 26, 2010

Timu ya taifa ya mpira wa Meza mazoezini Dar


wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa Meza wakiwa mazoezini katika viwanja vya kisutu jijini Dar es Salaam kujiandaa kucheza michezo miwili ya kirafiki na timu za taifa za Uganda na Zambia mwishoni mwa mwezi Juni.

Copa Coca Cola Temeke vs Singinda

Lango la Temeke lipo katika msukusuko,vijana wa Temeke wakijaribu kuokoa kona wakati wale wa singinda wajaribu kukwamisha mpira wavuni,Temeke ilibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Singinda,mchezo huo ulichezwa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam Juni 26

Saturday, June 19, 2010

Kombe la dunia Afrika ya Kusini

Kulikoni jamani timu za Afrika zinekuwa dhaifu kiasi hicho kiasi kwamba wameshindwa kutumbukiza mpira wavuni hata katika nafasi zile za wazi? kwa mfano GHANA dhidi ya Australia,au ndiyo kusema soka la Afrika bado lipo usingizini?