Saturday, April 17, 2010

Vijana baada ya mazoezi


Vijana hawa chini ya umri wa miaka 7 baada ya kumaliza mazoezi katika uwanja wa Karume jijini DSM leo,wanaonekana wanahamu ya kufika mbali na hasa kuchezee timu ya taifa, Taifa Stars,wadau tuwape moyo ili watimize ndoto zao.

Usafirishaji jijini DSM


JE gari hili limefuata sheria za usalama barabarani?

SIMBA na timu ya wanawake


Timu ya soka ya simba imeazisha timu ya soka ya wanawake wenye umri chini ya miaka 14 na itaanza kushiriki mashindano ya soka ya wanawake Wilaya ya ILALA mwezi ujao.

Wednesday, April 14, 2010

mashabiki wa simba wakifuatilia mchezo


Mashabiki wa Simba wakifuatilia kwa umakini mchezo kati Simba na Azam

Wachezaji wa simba


Wachezaji wa Simba kutoka kulia chombo,banka,kaseja wakitoka uwanjani wakati wa mapumziko katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom dhidi Azam.Simba iliibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja hivyo kutangazwa mabingwa wa msimu wa 2009/2010

Thursday, April 8, 2010