Wednesday, April 6, 2011

u23 kwenye mazoezi


Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23 wakifaanya mazoezi katika uwanja wa Karume tayari kuikabili CAMEROON siku ya jumamamosi katika uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment