Wednesday, March 24, 2010

TBC SPORT KAZINI


Waandishi wa habari za michezo wa TBC wakizungumza na mshambuliaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Thomas Ulimwengu katika uwanja wa Karume jijini DSM,kutoka kulia JANE JOHN,CHARLES MWEBEA na EVANCE MHANDO.

1 comment:

  1. visit www.thomasulimwengu.com au angalia video profile kwenye youtube: http://www.youtube.com/watch?v=Hap-VMPewk4

    ReplyDelete