Tuesday, June 14, 2011




Simba na Yanga zakabidhiwa fedha zao za ubingwa wa ligi kuu na wadhamini wao TBL,Yanga imepata MILIONI 25 baada ya kuwa bingwa na Simba MILIONI 15 baada ya kuwa mshindi wa piki

No comments:

Post a Comment