Wednesday, December 1, 2010


RAIS wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF LEODGER TENGA amesema shirikisho lake limeseikia kilio cha mashabiki wa soka nchini wanaotaka timu ya taifa Tanzania bara kilimanaro stars kocha wake awe mzalendo si kocha wa taifa stars na sasa watalifanyia kazi nyakati zijazo.

Akizungumza na waadishi wa habari jijini dsm hii leo TENGA amesema ni busara kilimanaro stars kufundishwa na mzalendo ili kutoa nafasi kwa kocha wa taifa stars kuchangua wachezaji kutoka katika timu za ZANZIBAR HEROES na KILIMANJARO STARS.

TENGA ameongeza kusema kewamba wao kama shirikisho waliona ni vizuri kwa kocha wa TAIFA STARS kufundishi pia kilianjaro STARS kwa lego ili kuendeleza mtiriko wa mafunzo yake na pia kuwafahamu wachezaji zaidi.

Imekua ni utamaduni kwa makocha wa kingeni wanaopewa kazi ya kufundisha TAIFA STARS pia kupewa majukumu ya kuinoa KILIAMANJARO STARS kama ilivyokua kwa kocha wa STARS MARCIO MAXIMO na sasa mithiri wake JAN PAULSEN.

== ==

Katika burundani bendi ya mziki wa dansi MLIMANI PARK OCHESTER itatumbuiza katika sherehe za kuazimisha kutimia miaka kumi ya usiku wa mtanzania, sherehe zitakazofanyika katika ukumbi wa KARIMJEE DESEMBA TATU.

Akizungumza na TBC, mkurungezi wa PEACOCK HOTEL ambao ndio waandaji wa sherehe hizo, DAMAS MFUGALE amsema waliamua kuazisha siku hii ya usiku wa mtanzania kwa lego la kuendeleza utamaduni wa kitanzania kupitia vyakula.

MFUGALE amesema siku ya usiku wa mtanzania licha ya mashabiki kuburundika na vyakula vya kitanzania lakini pia watakongwa nyoyo zao na burundani ya ngoma za asili,pamoja na mziki kutoka Kidum- Kenya,Lady Jay Dee,Sikinde Mgoma ya Ukae na Wane Star.

===

Mkazi wa singida farijala athumani idd leo amekabidhiwa sawadi yake ya cheki ya shilingi milioni kumi aliyoshinda katika promosheni ya dunia ya washindi iliyokua ikiedesha na kampuni ya simu za mkononi ya TIGO.

Akizungumza baada ya kupokea zawadi hiyo ya cheki farijala athumani amesema fedha hizo atazitumia kuendeleza miradi yake ya maendeleo,wakati Afisa uhusiano wa tigo JACKSON MMBANDO akiwataka wateja wa tigo kuendelea kucheza pale linatokea shindano ili washinde zawadi mbalimbali.

Zaidi ya washindi 9000 wamejinyakulia zawadi mbalimbali katika prosheni hiyo ya dunia ya washindi,zikiwemo muda wa nmaongezi,sms na pesa taslim zenye thamani ya shilingi MILIONI MIA MOJA NA THELATHINI.

== ==


No comments:

Post a Comment