Saturday, October 2, 2010

Gari la kifahari ROISO ROISE ndani ya Bongo


Mbwembwe, vituko na ufundi wa kucheza na magari na pikipiki vimetawala katika maonesho ya magari yanayoendela katika viwanja vya POSTA KIJITONYAMA jijini DSM.
maonesho hayo yamefunguliwa rasmi hii leo na mkurugenzi wa benki ya STANIBIC nchini BASHIR AWALE ambaye amewataka madereza kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali za mara kwa mara zinazosababishwa vifo vya watu wengi wakiwemo wanamichezo.
Baada ya ufunguzi huo na ukaguzi wa magari na pikipiki madereva mbalimbali walionesha ufundi wao wa kucheza na magari na pikipiki.Na hapa pata uhondo huo

No comments:

Post a Comment