Wednesday, October 13, 2010

STARS VS MOROCCO

Hilo ni gari la kurushia matangazo OB VAN la SUPERSPORT likiwa tayari kurusha matangozo ya mchezo kati ya Stars na Morocco kwenye uwanja wa taifa DSM Tanzania,mchezo huo ulichezwa Octoba 9 na Stars kulala kwa kufungwa bao moja kwa bila

No comments:

Post a Comment