Wednesday, October 13, 2010

Kriketi wakabidhiwa vikombe

Wachezaji chipukizi wa mchezo wa KRIKETI wametakiwa kuhakikisha wanaviendeleza vipaji vyao na kuhakikisha wanacheza na kufikia katika kiwango cha kimataifa na kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataiafa.Hayo yamesemwa na KANALI mstaafu GASPER HIZA wakati wa kukabidhi vikombe na zawadi kwa timu ya kriketi ya shule ya msingi KAWE B jijini DSM baada ya timu hiyo kunyakuwa ubingwa katika mashindano ya shule za msingi huku kocha wa timu hiyo , OSMAN BAIRUU akitaka wachezaji chipukizi nchini kuondoa dhana kuwa mchezo huo unachezwa na wachezaji wenye asili ya kiasia

No comments:

Post a Comment