Tuesday, October 12, 2010

SALIF atua DAR


Mtuzi na Mwimbaji wa Mziki kutoka MALI, SALIF KEITA, maarufu kama,(GOLDEN VOICE OF AFRICA) anatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa mziki atakapopanda jukwaani kutupuiza jijini DSM hiyo kesho .

Akizungumza na TBC MENEJA MASOKO wa BANKI ya STANBIC ambao ndio wadhamini wakuu wa ziara ya mwanamziki huyo, ABDALLAH SINGANO amesema pamoja na kutumbiza kwa nyimbo mbalimbali pia ataimba nyimbo zinazohusu nyimbo zinazopinga unyanyasaji na mauja ya Albino nchini na Afrika kwa ujumla.

KEITA ambaye pia ni Albino, amesema binaandanu wote ni sawa,wameubwa kwa rangi na mabakila mbalimbali ili wapate kujuana,na kuzaliwa Albino hayo ni majaliwa ya mungu na si changuo la wao Albino kwa hivyo hawabanguliwe wala kuuawa.

Katika onyesho hilo litakalotubuizwa na SALIF KEITA,pia atazidikizwa na mwanamuziki wa tanzania mwanadada KEISHA.

==


No comments:

Post a Comment