Tuesday, July 12, 2011

FASDO YAANZA KUBURUDISHA WAKAZI WA JIJI LA DSM.


FASDO YAANZA KUBURUDISHA WAKAZI WA JIJI LA DSM.

Katika burudani,kikundi cha sanaa na michezo kinachofahamika kwa jina la FASDO kimeanza kutoa burundani kwa wakazi wa jiji la dsm katika fani ya MAIGIZO,SARAKASI na NYIMBO.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho mkuu wa wilaaya ya temeke CHIKU GALAWA amesema kikundi hicho kitasaidaia kufikisha ujumbe wa kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya na ukahaba katika jamii na hasa kwa vijana.(PAUSE)

Naye mkurungezi wa kikundi hicho TEDVAN CHANDE amesema lego la kuazishwa kwa kikundi hicho licha ya kutoa burudani pia kitasaidia kuibua na kuendeleza vijana katika fani ya sanaa na michezo.(PAUSE)

Katika uzinduzi huo wasanii wa kikundi hicho walionyesha vitu vyao ambayo vilikoga nyoyo za mashabiki waliohudhuria katika uzinduzi huo hebu pata burudani.UP SOUND

= =


No comments:

Post a Comment