Wednesday, July 13, 2011

Timu ya taifa ya riadha itakayoshiriki mashandano ya ALL AFRICA GAMES kuchanguliwa katika mashindano ya riadha ya taifa yatakayofanyika JIJINI DSM JULY 23.

Katibu mkuu wa shirikisho la riadha nchini SULEIMAN NYAMBUI amewataka wanariadha wa mikoa yote ya Tanzania watakaoshiriki katika mashindano hayo kuendela kujifua ili walete ushindani katika mashindano hayo na hatimaye kuchangua kikosi bora cha timu ya taifa.

Michezo hiyo ya Kumi ya ALL AFRICA GAMES itafanyika kuanzia Septemba 3-18 mwaka huu jijini Maputo, Msumbiji.

No comments:

Post a Comment