Saturday, September 4, 2010

Hili ni gari lilopata ajali jana likiedesha na Meneja wa Pesheni wa LAPF, Abbakari Ndwata katika kijiji cha dumila kilimita chache kutoka Morogoro mjini,mola ashukuriwe kwani pamoja na kupinduka mara tatu kijana huyo alinusurika,mola amlinde

No comments:

Post a Comment