Saturday, September 4, 2010

ZAWADI MISS TANZANIA 2010 yaanikwa

Hili ni gari aina ya Hyhundai I10 ambalo lina thamani ya shilingi milioni kumi na mbili,ambalo atazawadiwa mshindi wa kwanza wa mis Tanzania 2010,katika shindano litakalofanyika Septemba 11 jijini DSM

No comments:

Post a Comment