Tuesday, September 14, 2010

Ngumi za kulipwa kwenye semina ya ukimwi


Katika masumbwi, mambondia 100 wa ngumi za kulipwa watahudhuria semina ya siku moja juu ya kujikinga na magonjwa mbalimbali na semina hiyo ya siku moja ita fanyika siku ya ijumaa jijini DSM .

Mratibu wa semina hiyo RAIS wa TPO YASIN ABDALLAH (ustadhi) amesema mafunzo hayo yatajikita katika kuangalia magonjwa kama vile ukimwi na pia athari zitokanazo na madawa ya kulevya.

ABDALLAH amesema mafunzo hayo kwa kuanzia yatanza na mabondia wa kulipwa kutoka katika jiji la DSM na baade watakwenda kutoa semina kwa mabondia wengine mikoani

No comments:

Post a Comment