Sunday, August 15, 2010

Warembo 31 watakaoshiriki katika kinyang’anyiro cha kuwania taji la MISS TANZANIA 2010 wanaingia kambini kesho katika jijni DSM kujifua kabla ya kufanyika kwa shindano hilo.

Akizungumza na TBC mwenyekiti wa kamati ya MISS TANZANIA HASHIMU LUNDENGA amesema warembo hao watasaini mkataba utakao wafunga kujiepusha na masuala ya kihuni ambayo yamekua yakiambisha fani hiyo hapa nchini

No comments:

Post a Comment