Wednesday, August 11, 2010

NGUMI WAJIPANGA

NCHI nne zimethibitisha kushiriki mashindano ya ngumi za ridhaa ya mabingwa wa mabigwa yaliyopangwa kuanza Agosti 24 hadi 29 jijini DSM.
Katibu mkuu wa shirikisho la ngumi za ridhaa hapa nchini (BFT) MAKORE MASHAGA anasema maandalizi yote yamekamilika na anaamini mabondia wanaojiandaa na mashindano ya jumuiya ya madola watafanya vizuri katika mashindano hayo Mashindano ya Jumuiya ya Madola yamepangwa kufanyika nchini INDIA kuanzia tarehe 4 hadi 14 mwezi OCTOBA.

No comments:

Post a Comment