Wednesday, August 11, 2010

Tenisi wajipanga

Katika mchezo wa LONE TENISS-WACHEZAJI wa mchezo huo katika klabu ya GYMKAHANA wametamba kuibuka na ushindi katika mashindano ya wazi ya SIMBA CEMENT yanayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe MOSI hadi NNE ya mwezi ujao jijini DSM.
Wakizungumza na mwandishi wa TBC wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mashindano hayo, wachezaji HASSAN KASSIM na RIZIKI SALUM wanasema wamejiandaa vyema kuhakikisha zawadi ya dola 1,000 inabaki TANZANIA.
Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wachezaji kutoka UGANDA, KENYA, BURUNDI, RWANDA na wenyeji TANZANIA.

No comments:

Post a Comment