Wednesday, August 4, 2010


Miss Tanzania yapata mdhamini mwenza ni kampuni ya Muzasha Tours and Safaris ambayo itashirikiana na VODACOM kumtafuta mnyanga wa miss tanzania 2010,kulia ni mkurungezi wa kampuni hiyo Mdhamil Kantuzi akibadilishana mkataba na mratibu wa shindano hilo Hashimu Ludenga

No comments:

Post a Comment