Wednesday, August 4, 2010

SIMBA

Hivi ni vikombe vya Simba Sports Club,

Simba inacheza na Express ya Uganda siku ya jumapili katika uwanja wa uhuru katika siku maalumu ya SIMBA DAY ambayo itakua inaadhimishwa kila mwaka.

No comments:

Post a Comment