Wednesday, August 4, 2010

Usafiri wa wanafunzi


Wanafunzi wakiwa wakingombea kuingia ndani ya basi lao katika kitua cha Mwenge.hili ni mojawapo kati ya mabasi yaliyotolewa na Bank ya CRDB,wanafunzi hawa bado wanahitaji mabasi mengine zaidi ili kuwarahisishia usafiri.

No comments:

Post a Comment