Thursday, August 12, 2010

Jan Pouslsen

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Stars na Harambee Stars uliopingwa jana kwenye dimba la taifa na timu hizo kufungana bao moja kwa moja

No comments:

Post a Comment