Tuesday, August 17, 2010

Mashabiki wakiwa katika ofisi za TFF wakisubiri kununua tiketi za kushuhudia mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga ambazo zinashuka dimbani kesho kuwania Ngao ya Hisani katika uwanja wa taifa jijini DSM

No comments:

Post a Comment