Sunday, August 15, 2010


Uchanguzi mkuu wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA kuchangua viongozi wapya watakao kiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo umefanyika hii leo katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya kinondoni huku waandishi hao wa michezo wakitakiwa kulinda maandli ya kazi yao.


No comments:

Post a Comment