Thursday, August 12, 2010



mchezaji wa mabingwa wa Ulaya intermilan ya Italia na Harambee Stars Macdonald Mariga akiongea na waandisha wa habari jana baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki kati ya Harambee Stars na Taifa Stars na kutoka sare ya kufungana bao moja kwa moja mchezo ulichezwa katika uwanja wa Uhuru jijini DSM jana

No comments:

Post a Comment